All Clinics
· Upimaji na uchunguzi wa jicho
· Upimaji wa shinikizo la jicho
· Upimaji wa miwani
· Tiba ya macho
- Huduma za uzazi wa mpango,
- Huduma za chanjo
- Huduma kwa wajawazito
- Huduma kuzuia maambukizi ya vvu
- Huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na matiti
- Kutoa jino/meno
- Kuziba jino
- Kuua jino
- Kutibu usaa ulioenea sehemu zote zinazo husiana na kinywa
- Kukata nyama iliyoota juu ya jino
- Kutibu fangasi ya kinywa
- Kurejesha joint ya mandible
- Kutibu wagonjwa wa ajali
- Kutibu jino lililooza
- Kuti...