Our Services
- Kupima wingi wa damu
- Full blood Picture
- Erythrocyte sedimentation Rate (ESR)
- Kuganda kwa damu (Clotting time)
- Kipimo cha selimundu (Sickling test)
- Kipimo cha sukari
- Kipimo cha kupima uwezo wa figo kufanya kazi
- Kipimo cha uwezo wa ini kufa...
- · Upimaji na uchunguzi wa jicho
- · Upimaji wa shinikizo la jicho
- · Upimaji wa miwani
- · Tiba ya macho
- Huduma za uzai wa mpango,
- Huduma za chanjo
- Huduma kwa wajawazito
- Huduma kuzuia maambukizi ya vvu
- Huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na matiti
- Ufuatiliaji wa ukuaji mtoto chini ya miaka mitano
- Tiba za kifua kikuu na ukimwi
- Tiba za magonjwa ya ngono
- Tiba na huduma kwa waviu
- Ushauri nasaha na upimaji wa vvu
- Kutokomeza vvu kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
- Kutoa jino/meno
- Kuziba jino
- Kuua jino
- Kutibu usaa ulioenea sehemu zote zinazo husiana na kinywa
- Kukata nyama iliyoota juu ya jino
- Kutibu fangasi ya kinywa
- Kurejesha joint ya mandible
- Kutibu wagonjwa wa ajali
- Kutibu jino lililooza
- Kuti...