Hospitali ya Wilaya ya Kondoa

Kliniki ya WAVIU

Posted on: August 10th, 2025
  1. Tiba za kifua kikuu na ukimwi
  2. Tiba za magonjwa ya ngono
  3. Tiba na huduma kwa waviu
  4. Ushauri nasaha na upimaji wa vvu
  5. Kutokomeza vvu kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto