Wanawake na walezi wamehimizwa kujitokeza kwa wingi na watoto wao wa kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka mitano katika vituo vyote vya afya ili kuhakikisha wanapata chanjo ya Surua Rubela ...Read more

Karibu Katika Tovuti ya Hospitali ya Wilaya ya Kondoa. Katika tovuti hii utapata habari na taarifa mbalimbali zinazopatikana katika hospitali ya Kondoa ikiwemo matangazo mbalimbali, huduma zinazotolewa, kliniki zinazopatikana na mambo mengine mengi yanayofanywa. Aidha katika tovuti hii ...
Read moreWanawake na walezi wamehimizwa kujitokeza kwa wingi na watoto wao wa kuanzia umri wa miezi tisa hadi miaka mitano katika vituo vyote vya afya ili kuhakikisha wanapata chanjo ya Surua Rubela ...Read more
Ukweli kwa familia na kwa jamii kuhusu chanjo
Chanjo huokoa maisha ya hadi watoto milioni 3 kila mwaka.
Chanjo hukinga maradhi, ulemavu na vifo vitokanavyo na magonjwa yanayozuilika kwa chanjo ikiwa ni pamoja na surua, homa ya i...
read moreIni ni kiungo muhimu sana ndani ya miili yetu, hufanya kazi zaidi ya 500 ; moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kutoka kwenye damu.
Kutokana na sababu mbalimbali kama pombe iliyopita kiasi, sumu kwenye damu au maambukizi; ini hupata shida na kuvimba...
read moreMalaria ni ugonjwa unaoathiri watu wengi sana duniani. Malaria husababisha vifo vya watu milioni 2.7 duniani kote, ambapo vifo vingi hutokea barani Afrika. Ugonjwa wa malaria huonekana katika nchi 100 duniani kote.
Kwa Tanzania, mikoa ambayo inaongoza ...
read more