Kujiunga na Bima ya Afya ya Jamii
Mfuko wa Afya ya Jamii ni mfuko unaosaidia kutoa afya kwa
Malipo ya kujiunga
Gharama ya kujiunga na mfuko huu ni Tshs. 30,000 kwa wanachama 6 wa familia moja kwa mwaka mmoja. Mwanachama anapata huduma za afya kuanzia ngazi ya Zahanati, vituo vya afya, hospitali ya Wilaya na Hospitali ya mkoa.
Jinsi ya kujiunga
Mwananchi anayetaka kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii anatakiwa kumuona Afisa Mwandikishaji anayepatikana katika kila mtaa.
WANANCHI WOTE MNASHAURIWA KUJIUNGA