Maabara
Posted on: April 4th, 2025- Kupima wingi wa damu
- Full blood Picture
- Erythrocyte sedimentation Rate (ESR)
- Kuganda kwa damu (Clotting time)
- Kipimo cha selimundu (Sickling test)
- Kipimo cha sukari
- Kipimo cha kupima uwezo wa figo kufanya kazi
- Kipimo cha uwezo wa ini kufanya kazi
- Kipimo cha kupima wingi wa futa kwenye damu
- Serum electrolytes
- Prostate specific antigen (PSA)
- Vichochea vya tezi ya shingo (thyroid hormones)
- Widal test(kwa ajili ya homa ya matumbo-typhoid)
- Rheumatoid factor H. Pylori test
- Kipimo cha Homa ya Ini (Hepatitis B,C)
- VDRL
- Kipimo cha makohozi (Sputum for AFB)
- Parasitology test
- Kipimo cha choo (Stool analysis)
- Kipimo cha malaria (mRDT)
- Kipimo cha mkojo (Urinalysis & Urine sediments)