Kliniki ya Meno
Posted on: August 9th, 2025- Kutoa jino/meno
- Kuziba jino
- Kuua jino
- Kutibu usaa ulioenea sehemu zote zinazo husiana na kinywa
- Kukata nyama iliyoota juu ya jino
- Kutibu fangasi ya kinywa
- Kurejesha joint ya mandible
- Kutibu wagonjwa wa ajali
- Kutibu jino lililooza
- Kutibu fizi