Ukaribisho

Dkt. Nelson Bukuru
Mganga Mkuu
Karibu Katika Tovuti ya Hospitali ya Wilaya ya Kondoa. Katika tovuti hii utapata habari na taarifa mbalimbali zinazopatikana katika hospitali ya Kondoa ikiwemo matangazo mbalimbali, huduma zinazotolewa, kliniki zinazopatikana na mambo mengine mengi yanayofanywa. Aidha katika tovuti hii utapata fursa ya kuuliza maswali mbalimbali moja kwa moja na kupatiwa majibu na wataalam wetu kwa njia ya barua pepe. Aidha Tovuti hii ya hospitali ya Wilaya ya Kondoa inamilikiwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kondoa. KARIBUNI SANA