Hospitali ya Wilaya ya Kondoa

Kliniki ya Mama na mtoto

Posted on: April 4th, 2025
  1. Huduma za uzazi wa mpango,
  2. Huduma za chanjo
  3. Huduma kwa wajawazito
  4. Huduma kuzuia maambukizi ya vvu
  5. Huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na matiti