Kliniki ya Mama na mtoto
Posted on: August 10th, 2025- Huduma za uzai wa mpango,
- Huduma za chanjo
- Huduma kwa wajawazito
- Huduma kuzuia maambukizi ya vvu
- Huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na matiti
- Ufuatiliaji wa ukuaji mtoto chini ya miaka mitano